#SikuYaMtoto
Share via
#SikuYaMtoto inafanyika tena kwa mara ya pili ikiwaleta pamoja watoto zaidi ya 1,000 toka viungani mwa jiji la Dar es salaam - kucheza, kufurahi na kushindana. Kama ilivyokuwa kwa mwaka jana, watoto zaidi ya 700 walihudhuria - na washindi walipewa zawadi. Medali na zingine nyingi. Hii ni katika kuungana na watoto kote Afrika kumuenzi mtoto wa Afrika. Siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Afrika hufanyika kila mwaka tarehe 16 Juni - USIMKOSESHE!
Venue location in map
Organizer information
Sema Tanzania
Tunatoa Huduma kwa Mtoto kupitia Simu Nambari 116. Piga namba 116 toka mtandao wowote tukujuze. Tunapatikana saa 3 asbh hadi saa 2 usiku na huduma haina malipo!
Organizer's social media accounts
When & where
JMK Park - Zamani paliitwa Kidongo Chekundu, ,
Fri 16, June 2017
12:00am to 12:00am
Add to my calendar