Winning Ladies Convention 2018 - ARISE
Share via
Karibu kwenye kongamano la WINNING LADIES CONVENTION 2018 - ARISE
......
Ni Kongamano linalotegemewa kuwa kubwa sana litakalokutanisha wanawake kutoka nyanja zote kuabudu, kujifunza na kufurahi pamoja. Kutakuwa na wanenaji mbali mbali kutoka Tanzania na nje ya Tanzania. Wazungumzaji waalikwa ni Pastor Nick Shaboka, New Day Church - Tanzania, Rev. Mrs. Funke Felix Adejumo - Nigeria, Bishop Prof. Ryoba Calvary Assemblies - Tanzania; wote wakiongoza na Mwenyeji wao Pastor Rose Shaboka ambaye ni mwanzilishi wa Winning Ladies International.
Wazungumzaji wageni wengine waalikwa ni pamoja na Paster Emmanuel Mgaya (Masanja), Mrs. Irene Mbowe wa Bembeleza Foundation na Paster Helen Uronu wa Debora Generation Ministries International.
Tamasha pia litakuwa waimbaji kutoka ndani na nje ya nchi wakiongozwa na Ntokozo & Nqubeko - South Africa, Lebo Sekgobela - South Africa, Prosper Ochimana - Nigeria, Ambwene Mwasongwe - Tanzania, Miriam Mauki- Tanzania na King David - Tanzania. Zaidi kutakuwa na wanenaji na waimbaji wengine kutoka nchini hapa na Kenya pia.
Kwa Mawasiliano Zaidi
0717190413 - Pastor Rose Shaboka (Event Organizer)
0714 674 633, 0752 106 982, 0759 073 074
Kwa msaada na maelezo ya kununua tiketi mtandaoni zungumza na TiME Tickets, 0752030032
Venue location in map
Organizer information
TiME Tickets
TiME Tickets is a multi-platform software which redefines ticketing experience by making the process easy convenient and safe. Its available via web, and android apps and even on feature phone.
Organizer's social media accounts
When & where
Ticket information
| Ticket type | Entry |
|---|---|
| Standard |
20,000TZS
Sales ended |