Kubwa Kuliko
Share via
Hafla na Harambee ya Kuichangia Yanga Juni 15 Mwaka huu 2019 ndani ya ukumbi wa #DiamondJubilee, kutakuwa na tukio la kihistoria, kwa watu wa mpira, ambao ni wananchi wanaomiliki #TimuYaWananchi watakao keti na kuichangia timu yao (#Yanga)
Fedha Hizi zitaijenga timu, ikiwa ni pamoja na kujenga kikosi imara katika historia ya Tanzania.
Karibu, njoo ujumuike na wanaojua mpira nchi hii kwenye tukio la hadhi. Tiketi za kawaida ni Shilingi 50,000, 100,000, meza ya V.M.E ni Shilingi 1,000,000, meza ya V.I.P 5,000,000 na meza ya V.V.I.P ni shilingi 10,000,000.
#KubwaKuliko #WawekezajiNiWananchi
Venue location in map
Organizer information
Yanga Sports Club
Kubwa Kuliko
Organizer's social media accounts
When & where
#Past event